WANAFUNZI IPENDENI MCHI YENU KULIKO KITU CHOCHOTE
Mgeni rasmi Katika Mahafari ya kidatu cha nne Shule ya Sekondari Kipoke wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Mbunge Mstaafu Sophia Mwakagenda (watatu toka kushoto) akiwa kwenye mapokezi ya wanafunzi wa shule hiyo ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi mwishoni mwa wiki. Wengine ni viongozi wa shule hiyo. Mwakagenda amewaasa wahitimu hao kwamba hivi sasa dunia ipo kwenye kiganja hawana budi sayansi hii kuitumia vyema , wajiepushe na mabo ya kuiga kutoka kwenye mitandao zipo nchi hata jirani na Tanzania wanafunzi wanakuwa na vishawishi vya kuzichukia nchi zao nakuanzisha fujo. Ninyi ipendeni nchi yenu ni Tanzania hakuna nchi nyingine someni sana mje kuitumiakia nchi yenu. Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt .Samia Suluhu Hassan , inawapenda sana vijana ndiyo maana mmeanzishiwa wizara yenu ya kutatua matatizo yenu mnataka mpewe nini", Wanangu nawaomba mshinde wote mwende kidato cha sita na badae chuo kikuu, jiepusheni na mabo ya hovyo ipendeni nchi yenu na mje kuwa watawala, kuna nchi wanafunzi hawasomi kwa raha kila siku marisasi", aliwaasa Sophia Mwakagenda.Wanafunzi hao wakitumbuiza



Comments
Post a Comment