VIJANA TUMIENI MITANDAO KUPATA FEDHA NA SIYO KUTAKA FUJO MSEMAJI WA SERIKALI MSIGWA

Msemaji wa Serikali, amezidi kuwaasa vijana wa nchi hii kutumia mitandao kujipatia mamilioni ya fedha na siyo kutengeneza fujo kama inavyotokea katika mataifa ya wengine, Msigwa ameyasema hayo leo wakati akiizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Mikutano Ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma


Wanahabari wakimsikiliza kwa makini msemaji









 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA