LAAC YAKUTANA NA VIONGOZ WA HALMASHAULI ZA MKOA WA NJOMBE LEO

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge  ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Abdallah Dadi Chikota, amba ye pia ni Mbunge wa Nanyamba mkoani Mtwara. akifunguwa kikao cha kamati yake na watendaji wa Halmashauri tatu za mkoa wa Njombe ambazo ni  Njombe mji, Makambako, Kamati yake inajikita hasa kuzihimiza kukusaanya makusanyo ya ndani, ulipaji wa madeni, kwani kuna malalamiko ya wananchi wanaozihudumia halmashauri hizo kutolipwa stahiki zao za madeni madogo madogo walizotoa huduma kwao na imefikia pindi viongozi wanapofanya ziara  huko hupelekewa malalamiko kama hayo , kuangalia kwenye maeneo ya matumizi mabaya ya fedha za umma kuangalia mikopo ya asilimia kumi kama taratibu zinavyosema. 


Wajumbe wa Kamati hiyo wakifatilia kikao hicho
















 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA