KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YAKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA MBEYA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo, akizungumza katika kikao na viongozi wa Halmashauri za mkoa wa Mbeya walioitwa na kamati hiyo leo katika kikao chake Mbunge wa Jimbo la Lupa mkoani Mbeya, Masache Kasaka, akiwa na wabunge wenzake wakifatilia kwa umakini mkubwa maelezo ya wajumbe.
Wajumbe wa kamati hiyo ya bunge Viongozi wa Mkoa wa Mbeya wakisikiliza kwa makini
Wajumbe wa kamati hiyo ya bunge Viongozi wa Mkoa wa Mbeya wakisikiliza kwa makini
Comments
Post a Comment