KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MAJI NA MAZINGIRA YAKUTANA NA WAKURUGENZI WA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira  Jackson Kiswaga, akifungua kikao cha wajumbe wake na Wizara ya Maji pamoja na wakurugenzi wa Mamlaka za maji nchini , kikao hicho kilizungumzia uhifadhi wa mazingira katika vyanzo vya maji mito na maziwa ambapo vimekuwa vikivamiwa na wakulima kisha kutililisha mbole zenye sumu na kuathili baadhi ya viumbe wa majini na wananchi kwa ujumla .











Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akiwasilisha mada za kikao hicho



 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA