KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAKOSHWA NA UTENDAJI KAZI WA TRA WAWAMIMINIA SIFA.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki (kushoto), akifungua warsha ya kamati yake iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) chini ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Juma Mwenda (kuli), ambapo walielezwa jinsi ufanisi wa Mamlaka hiyo mfumo wa ukusanyaji wa mapato utokanao na mapato ya forodha.
Mifumo mipya imeboleshwa sana utoaji wa mizigo bandalini ambapo siku nane inatosha kutoa mizigo bandalini. Aidha wameongeza mapato kwa kutumia mifumo hiyo. wameweza kukusanya mapato makubwa mwaka huu ambapo bajeti ya tilioni 34,8 ambayo ni makusanyo yaliyozidi kiwango walichopewa kwa asilimia 100.7.
Mwaka huu wa fedha wanategemewa kukusanya mapato mengi sana. chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hasasan Tanzania itaweza kujitegemea kibajeti . mafunzo waliyoipatia kamati ya bajeti imefanikiwa sana na kamati hiyo imekuwa ikiishauri mambo mbalimbali ambayo wamekuwa wakizingatia ndiyo maana wamefikia hapa walipo.
Mjumbe wa kamati hiyo Esthe Matiko aliweza kuwasifia TRA kwa kuweza kuboresha mifumo ya walipakodi wote. Aidha Kamishana Mkuu wa Mamlaka hiyo Yusuph Juma Mwenda, alisema wamekutana na kamati hiyo ya bajeti kuwaonyesha mifumo yao inavyokusanya kodi pindi iingiapo bandalini, wamewaeleza mikusanyo hiyo ni kwa wote na siyo kwa wachache kuwe na muda mdogo sana wa uingiaji badalini, Amewaomba walipakodi wote nchini kutekeleza jukumu lao la ulipaji kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi. aalibainisha Mwenda kwamba utoaji wa mizigo utakuwa wa muda mfupi sana kwa mamlaka hiyo alisema Kamishana huyo.
Mbunge Bashungwa, akiuliza swali kutaka kufahamu utoaji wa listi za TRA wanazopatiwa wateja baada ya kulipa fedhaWakipiga picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa semina hiyo
Mwenyekiti, Mashimba ,aktoa ufafanuzi kwa wanahabari baada ya semina
Comments
Post a Comment