WIZARA YA UCHUKUZI WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE PAC

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hessabu za Serikali (PAC), Beng'i Mazana Issa, akiongoza kikao na wajumbe wenzake wa kamati hiyo na Viongozi wa Wizara ya Uchukuzi waliofika katika kamati hiyo kufafanua utendaji kazi wake pamoja na mahesabu ya kuanzia 2022,2223, 23 24  na 2425



Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa Godius Kahyarara, akizungumza katika kikao hicho

Naibu Katibu Mkuu  wa Wizara hiyo Abadallah Mitawi, akifafanua jambo katika kikao hicho.






 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA