MABINGWA WA MASHINDANO YA KAFITI MWANZA WATINGA BUNGE NA KOMBE LAO
Wachezaji wa na Viongozi wa Timu ya Kawekamo ya jijini Mwanza wakiwasili ukumbi wa Msekwa kwa ajili ya kujifunza mambo mbali mbali ya bunge tangu kuanzishwa kwake, timu hiyo ilinyakuwa kombe lililokuwa likishindaniwa katika mashindano yaliyoanzishwa na Mbunge wa Ilemela Kafiti W. Kafiti, yalishilikisha timu 24. Hakika wachazeji na viongoz wake na mbunge wa jimbo hilo waliweza kujumuika na wabunge pamoja na mawaziri katika mapokezi ya mabingwa hao. Waliweza kuvitawala viunga vya bunge tangu kuwasili kwao .
Comments
Post a Comment