UOKOAJI WA WALIOFUKIWA KWENYE MACHIMBO GEITA
Baadhi ya wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ
Union wakiwa hospitali ya Mkoa wa Geita
wakiendelea na matibabu baada ya kuokolewa jana. Picha na Lordrick Ngowi
Ndugu wakiwakumbatia wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union walipowatembelea hospitali ya Mkoa wa Geita wakiendelea na matibabu baada ya kuokolewa jana.
Baadhi ya wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union wakiwailiana na jamaa zao kwa simu walipokuwa katika hospitali ya Mkoa wa Geita wakiendelea na matibabu baada ya kuokolewa
Mmoja wa wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa RZ Union, Dicksoni Morris akiwasimulia ndugu na jamaa waliofika katika hopitali ya Mkoa wa Geita kuwajulia hali jana tabu walizozipata mgodini kwa siku tano
Kikosi cha uokoaji kikiokoa wachimbaji wadogo waliofukiwa katika mgodi wa RZ Union uliopo mkoani Geita jana. Picha na Emmanuel Ibrahim sam; sms za wachimbaji wakiwa ndani ya mashimo
Mchina akiokolewa
Huduma mbalimbali zikitolewa wakati wa uokoaji

Comments
Post a Comment