Posts

TANZANIA YAPENDEKEZA MKAKATI WA PAMOJA KUPAMBANA NA UGAIDI, MAJANGA AU

Image
  Na Mwandishi wetu, Malabo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezishauri nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa na mpango mkakati wa pamoja katika kupambana na masuala ya ugaidi na majanga ya kibinadamu. Akitoa pendekezo la Tanzania katika Mkutano wa 16 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika uliomalizika jana usiku Malabo, Equatorial Guinea, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) ambaye alimwakilishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inapendekeza Umoja wa Afrika uwe na mpango mkakati utakaosaidia kuhakikisha kuwa nchi wanachama wanakwenda pamoja lakini pia kusaidiwa kujengewa uwezo wa kupambana na vitendo vya kigaidi. “Hakuna nchi hata moja inaweza kusema iko salama kwani vikundi vya kigaidi viko sehemu mbalimbali hivyo kwa kutumia mpango mkakati wa umoja na mshikamano ni rahisi kukabiliana na ugadi…..kwa hiyo ujumbe wetu Tanzania kwa (AU) ni kwamb...

Huduma ya Teleza Kidigitali ya Benki ya NMB yazinduliwa Morogoro

Image
Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi kushoto na Meneja wa benki ya NMB tawi la Wami, Harold Lambileki wakizungusha bendera kama ishara ya uzinduzi wa huduma ya Teleza Kidigitali na NMB Pesa katika viwanja vya kituo cha daladala Masika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa. Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (Katikati akieleza jambo kwa fundi nguo, Jeni Ndembeka wakati wa uzinduzi wa huduma ya Teleza Kidigitali  katika viwanja vya kituo cha daladala Masika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, kulia ni Meneja wa benki ya NMB tawi la Wami, Harold Lambileki.  NMB Central Zone Manager Nsolo Mlozi (Center) explaining a point to a tailor Jeni Ndembeka at Maduka bus Stand during the launch of "NmB Teleza Kiditali' campaign aimed at reaching more unbanked citizens get access to financial services. Right is NMB Wami Branch Manager Harold Lambileki.    Huduma ya Teleza Kidigitali yazinduliwa Morogoro Na Mwandishi Wetu. Morogoro. Benki ya NMB imezindua huduma...

Rais Samia ahitimisha ziara yake Nchini Ghana

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali  mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu , tarehe 26 Mei, 2022  

WAZIRI UMMY MWALIMU AKITETA NA WASAIDIZI WAKE WAKUU

Image
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto  Ummy Mwalimu,akiteta na Katibu Mkuu Upande wa Afya Dkt. Abel Makubi na Naibu Waziri Molel (katikati)  

WABUNGE WAMMIMINIA PONGEZI RAIS SAMKIA SULUHU HASSAN KWA KUTUNUKIWA NISHANI

Image
Mbunge wa Viti Maalum CCM, Zainabu Katimba, akienda kisoma azimio la Kumpongeza Rais Samia Sululu Hassan kwa kupewa nishani  nchini Ghana ya ujenzi wa miundombinu nchini. Mbunge wa Nyang'wale, akichangia azimio hilo MBunge Sophia Mwakagenda, akitaja sifa za rais Samia Msukuma Kasheku, yeye alimwomba Spika kutoka na sifa kuwa nyingi za Rais  alitaka kuimba Waziri wa Fedha Mwiguru  Nchemba, akipiga makofi matamishi ya Msukuma akimtaka rais afike Mwanza Jumamosi Kushuhudia mchezo wa Yanga na Simba wampe nishani nyingine ya kumfunga mtani wao Simba Kasheku akianza kuimba na kucheza Kisukuma   hata hivyo alizuiwa na Spika Mwijage nae akichangia Mtoa Hoja akihitimisha hoja yake Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula , akiagana na Naibu Wake Ridhiwani Kikwete, wakati akiende kusoma bajeti ya wizara yake leo bungeni jijini Dodoma. Akisali kabla ya kuanza kusoma bajeti  

WAZIRI MKUU MAJALIWA NA NAIBU SPIKA ZUNGU WAWASIFU REA NA TANESCO

Image
Mkurugenzi Mkuu REA , Mhandisi Hassan Said (kulia), akimweleza Naibu Spika Azan Zungu jinsi walivyojipanga kufika umeme katika vijiji vyote nchini, baada ya kutembelea banda lake lililokuwa katika wiki ya Maonyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati yaliyomalizika leo jijini Dodoma na kutia fola ambapo wabunge zaidi ya 100 waliyatembelea na kusifu ubunifu huo. Wengi wamemsifu Waziri January Makamba na wasaidizi wake  kwa kukata kiu ya wabunge kutaka kufahamu ni lini majimbo yao yatakuwa na umeme wa uhakika hadi vijijini. Waziri Makamba, akimweleza Naibu Spika jinsi walivyojipanga kukata kiu ya siku nyingi ya wnaanchi  kuwa na umeme wa uhakika Naibu Spika, akipiga picha ya pamoja na viongozi wa ngazi za juu wa REA baada ya kumaliza kutembelea banda hilo Naibu Spika akiagana na Mkurugenzi Mkuu REA , Mhandisi Hassan Said Waziri Makamba, akimwongoza Naibu SpikaZungu , kutembelea mabanda yaliyopo katika maonyesho Naibu Spika akimsikiliza Mwakilishi wa TPDC Mhandisi Baltazari Thomas M...