Posts

JESHI LA JWTZ KUSHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 54 TANGU KUANZISHWA KWAKE

Image
Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Kanali, Ramadhan Dogoli, akizunghumza na waandishi wa habari   kuhusu maadjhimisho ya kutimiza mika 54 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo ambapo kilele chake kitakuwa Septemba 1mwaka huu. Mazungumzo hayo yalifanyika Makao Mku ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yapitishwa na Bunge

Image
    Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2018/2019 bungeni jijini Dodoma.  Mapema leo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepisha kiasi cha Shilingi Bilioni Mia Moja Sabini na Saba, Milioni Sita na Mia Mbili Thelathini na Mbili Elfu. Kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni Mia Moja Sitini na Sita, Milioni Mia Sita na Sita, na Mia Mbili Thelathini na Mbili Elfu ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida, na Shilingi Bilioni Kumi na Milioni Mia Nne ni kwa ajili ya bajeti ya maendeleo.  Pro. Adolf F. Mkenda Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,(wa kwanza kushoto) akifuatilia uwasilishwaji wa hotuba ya bajeti ya Wizara. Wa pili kutoka kushoto, ni Naibu Katibu Mkuu Balozi Ramadhani Mwinyi akifuatilia hotuba.  Sehemu ya Watendaji wa Wizara wakifuatilia hotuba ya bajeti ya Wizara kwa...