JESHI LA JWTZ KUSHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 54 TANGU KUANZISHWA KWAKE


Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Kanali, Ramadhan Dogoli, akizunghumza na waandishi wa habari  kuhusu maadjhimisho ya kutimiza mika 54 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo ambapo kilele chake kitakuwa Septemba 1mwaka huu. Mazungumzo hayo yalifanyika Makao Mku ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA