Posts

RAIS.DK.MAGUFULI ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU JAJI KISANGA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mtoto wa marehemu Amani Kisanga alipowasili na Mama Janeth Magufuli kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu  Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na mtoto wa marehemu Amani Kisanga alipowasili na Mama Janeth Magufuli kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu  Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa  Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa mareh...

UONGOZI WA NIDA NA NEMERA WAANDAA MAULID KWABWA JIJINI DAR

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Nida Textile Mills na Namera, Hamza Haji Rafiki (kulia) na Meneja Mkuu wa Makampuni hayo Muhammad Waseem wakiwa kwenye harakati za kupokea wageni katika sherehe za Kuzaliwa Mtume Mohamed (S.A.W) zilizoandaliwa na Makampuni yao zilifanyika katika mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam leo. Sherehe hizo zilizohudhuliwa na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ambaye alikuwa mgeni rasmi, Makamu wa Rais Mstaafu Dk. Mohammed Ghalib Bilal, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi Mufti Mkuu na wageni mbalimbali, sherehe hizo zilikusanya watu mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania   Wageni waalikwa wakiwa shughulini Mufti akiwasili katika sherehe hiyo  Wageni waalikwa  Muhammad, akielekeza jambo kwa wasaidizi wake  Muhammad, akijadiliana jambo na Shekh wa mkoa wa Dar es Salaam  Sherehe iliambatana na chakulam wafanyakazi wakishusha bilia...