Posts

LOWASSA MPILIPILI LINDI NA MAGUFULI GEITA

Image
  Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye, akionyesha sehemu ya kadi  3000 za wananchama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)waliohamia Chadema katika mkutano wa kampeni  wa Mgombea Urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa,Edward Lowassa(kulia) katika mkutano uliofanyika Jimbo la Mtama mkoani Mtwara  Lowassa, akipumzika kwenye kiti alichopewa zawadi Mpilipili Lindi   Mgombea urais wa     UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),     Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, mjini Lindi    Mgombea wa urais kupitia CCM,  Dk. John     Magufuli akiwahutubia wakazi wa Katoro    kwenye uwanja wa Mnada mkoani Geita, ambako aliwaahidi kuwapa wachimbaji wadogo maeneo zaidi Chezea nyuki wewe ukawa ndio gumzo la nchi sasa hadi Ikulu

LOWASSA AKOMBA WAPIGA KURA KUSINI

Image
  Mgombea wa Ubunge anaekubalika na wananchi wa Masasi kupitia Mwamvuli wa Chama cha Wananchi CUF, Ismail Makombe (Maarufu kwa Jina la Kundambada), akizungumza machache na wananchi hao waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Boma   Mwenyekiti Mwena wa Ukawa, Dkt. Emmanuel Makaidi akiwa ameambatana na Mkewe, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mke wa Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi (kulia), Mama Modesta Makaidi, wakati wa Mkutano wa Kampeni,  uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara, waliofikia kusikiliza sera zake katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Boma  Lowassa, akiwa haamini umati wa watu ...

MAGUFULI AKIWAONYESHA JINSI ALIVYO FIT WANYAMBO WA KARAGWE

Image
 Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga push up kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanika kwenye viwanja vya Changarawe Kayanga wilaya ya Karagwe.