LOWASSA MPILIPILI LINDI NA MAGUFULI GEITA

 Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye, akionyesha sehemu ya kadi  3000 za wananchama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)waliohamia Chadema katika mkutano wa kampeni  wa Mgombea Urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa,Edward Lowassa(kulia) katika mkutano uliofanyika Jimbo la Mtama mkoani Mtwara

 Lowassa, akipumzika kwenye kiti alichopewa zawadi Mpilipili Lindi
 Mgombea urais wa   UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),   Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, mjini Lindi 


 Mgombea wa urais kupitia CCM,  Dk. John   Magufuli akiwahutubia wakazi wa Katoro   kwenye uwanja wa Mnada mkoani Geita, ambako aliwaahidi kuwapa wachimbaji wadogo maeneo zaidi

Chezea nyuki wewe ukawa ndio gumzo la nchi sasa hadi Ikulu

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA