Posts

LOWASSA NA MSIBA WA MUFTI SIMBA LEO

Image
 Waombolezaji wa mufti Shaabani simba, wakiwa katika ibaada maalu ya kumuombea jijini Dar es salaam leo  Waumini wakiwa kwenye swala  ya kumuombea  Katibu Mkuu wa CHADEMA, akiwasili katika swala hiyo  mwenyekiti wa CUF nae akiwasili hapo  Rais Mstaafu Ali hassan Mwiyi, nae aakiwasili kushiliki swala hiyo  Lowassa Mkoani Singida, akihutubia baada ya kudhaminiwa  Waombolezaji nyumbnamni kwa marehemu  mjini Shinyanga  Rais Kikwete, akimzika marehemu katika mazishi yaliyofanyika eneo la Nguzo Nane mjini Shinyanga leo Lowassa, akiwasili mjini Singioda kwa ajili ya kuitafuta wadhamini alikovunja rekondi  ya kupata wadhamini wengi  Sumaye akimzika mufti Simba  Membe, akimzika Mufti Simba  makamu wa Rais, Dk. Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, kwenye swala ya mufti  Makamu wa Rais akizungumza katika swala hiyo  Dk. Silaa, akiondoka katika seneo hilo ...

MATUKIO MBALIMBALI LEO

Image
  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na akiongea na wananchi wa Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam juu ya Mpango Shirikishi wa kuendeleza ardhi na makazi ya wananchi kwa kushirikiana na Serikali Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal. Picha na OMR   Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angellah Kairuki akisisitiza namna mabaraza ya ardhi yanavyopaswa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa, wakati wa mkutano wa Waziri wa wizara hiyo   na wananchi wa kata ya Makongo leo...