LOWASSA NA MSIBA WA MUFTI SIMBA LEO
Waombolezaji wa mufti Shaabani simba, wakiwa katika ibaada maalu ya kumuombea jijini Dar es salaam leo
Waumini wakiwa kwenye swala ya kumuombea
Katibu Mkuu wa CHADEMA, akiwasili katika swala hiyo
mwenyekiti wa CUF nae akiwasili hapo
Rais Mstaafu Ali hassan Mwiyi, nae aakiwasili kushiliki swala hiyo
Lowassa Mkoani Singida, akihutubia baada ya kudhaminiwa
Waombolezaji nyumbnamni kwa marehemu mjini Shinyanga
Rais Kikwete, akimzika marehemu katika mazishi yaliyofanyika eneo la Nguzo Nane mjini Shinyanga leo
Lowassa, akiwasili mjini Singioda kwa ajili ya kuitafuta wadhamini alikovunja rekondi ya kupata wadhamini wengi
Sumaye akimzika mufti Simba
Membe, akimzika Mufti Simba
makamu wa Rais, Dk. Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, kwenye swala ya mufti
Makamu wa Rais akizungumza katika swala hiyo
Dk. Silaa, akiondoka katika seneo hilo baada ya swala
Profesa Lipumba, akiagana na hanzulun Mngula baada ya kumalizika swala
Mmzee Mwinyi akiagana na wananchi
Makamu akiagana na Dk. Mengi
Lowassa, akipokea fomu za wadhamini kutoka kwa katibu wa mkoa wa Singida
Wagombea walipokutana kwenye msiba wa mufti Lowassa na Sumaye, ahapa wakisalimiana baada ya kukutana
Wakiwa katika mazungumzo
Lowassa, akimfariji mke wa marehemu

Comments
Post a Comment