Baadhi ya wabunge wakiwa wamesimama kupinga hoja za kutaka kuwasilishwa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni wakati wa semina ya wabunge iliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Waziri Mkuu Mizengo Pinda(katikati),Waziri wa Sheria na Katiba,Dk. Asha-Rose Migiro(kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba, William Ngeleja wakisiliza hoja za wabunge kupinga kuwasilishwa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni katika semina ya wabunge iliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Spika wa Bunge ,Anna Makinda, akijaribu kuwatuliza wabunge kuhusu Muswada wa Mahakama ya Kadhi Mbunge wa Semve, Richard Ndassa, akipinga kuwasilishwa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini, akipinga kuwasilishwa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni katika semina ya wabunge iliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Jaji wa Mahakama Kuu, Robert Makalamba, akizungumza katika Semina ya wab...