LOWASSA AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa, akimkaribisha wilayani Monduli Balozi wa Japan Hapa nchini Mh Masaki Okada alipowasili wilayani humo jana Jumapili kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa nchi yake .Balozi huyo aliahidi kusaidia vifaa vya kisasa katika hospitali mpya ya kisasa inayojengwa wilayani humo. Jisikie upo nyumbani balozi