Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,
akimkaribisha wilayani Monduli Balozi wa Japan Hapa nchini Mh Masaki Okada
alipowasili wilayani humo jana Jumapili kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
inayofadhiliwa nchi yake .Balozi huyo aliahidi kusaidia vifaa vya kisasa katika
hospitali mpya ya kisasa inayojengwa wilayani humo.
Jisikie upo nyumbani balozi
Comments
Post a Comment