WANANCHI KARIBUNI BANDA LA JKT KATIKA MAONESHO YA 88 HATA KAMA YAKIFIKIA KILELE SISI TUPO---MEJA JENERALI MABELE


























Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, akisalimiana na Mkuu wa Dawati la Habari wa Jeshi hilo  Meja Janeth Charles Mkamba, baada ya kuwasili katika eneo la jeshi hilo lililopo katika maonesho ya Nane nane jijini Dodoma. Mabele alitembelea na kujionea uzalishaji unaofanywa na askari wake kama , ufugaji wa ng'ombe, samaki, Kuku wa mayayi, bata bukini, kilimo cha mazao mbalimbali, utegenezaji wa fenicha, ushaonaji wa nguo  na viatu. Mkuu huyo baada ya kutembelea aliongea na wanahabari ambapo aliwaeleza kwamba Jeshi hilo ni la wananchi, wananchi wasiogope kutembelea eneo hilo ili kujifunza elimu mbalimbali inayotolewa na Askari hao kwa ajili ya manufaa yao, alibainisha kwamba pamoja na kufungwa maonesho hayo wao huishi katika eneo hilo wakihudumia wananchi wapo katika maeneo ,nbalimbnali ya maonesho hayo nchini wkitoa huduma hizo.", wananchi karibuni Nanenane mjionee uzalishaji unaofanywa na vijana wa jeshi lenu huku wakitoa elimu kwa ajili ya kujenga Taifa msiogope wakati wa amani mtatukuta tumevaa yunifomu zetu ila wakati wa vita hubeba bunduka", alisema Mabele. Hebu funguwa  mhagale online TV umsikie kwa msisitizo







 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA