NMB BUNGE BONANZA LAFANA JIJINI DODOMA
Mchezaji wa timu ya Bunge, Dkt. Christina Mnzava, akipokea kikombe toka kwa Naibu Spika Daniel Sillo, baada ya timu ya wabunge kuibuka washindi wa Nmb Bunge Bonanza lililofanyika leo jijini Dodoma.
Bunge limewakutanisha washiriki 1,000 kutoka wizara 14 na taasisi 10 bonanza hilo limefayika katika viwanja vya Shule ya Sekondari John Merlini, jijini Dodoma, leo, Agosti 29, 2026.
Ushindani mkali ulikuwa kutoka kwa timu za Bunge, wizara, Taasisi na NMB, kujenga mshikamano na kuongeza uelewa kuhusu kinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Aidha kulikuwa na watu wa Damu Salama, walikuwa wakihitaji wananchi wa kuchangia damu. Aidha Naibu Spika Sillo, amewaasa wabunge na wananchi kujitahidi kufanya mazoezi ili kujiepusha na magonjwa nyemelezi .Naibu aliyasema hayo wakati wa kufunga Bonanza hilo ambapo alimwakilisha Spika Mussa Azanni Zungu

Comments
Post a Comment