WIZARA YA MAJI WAKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga (kulia), akimkalibisha leo kwenye kikao cha kamati yake Waziri wa Maji Jumaa Aweso ili kushiriki katika wasilisho la Wizara hiyo kwa kamati kuhusu maji na maziwa. (Kushoto) ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhandisi Andrew Kundo.
Comments
Post a Comment