MWENYEKITI MZAVA AONGOZA KIKAO NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii, Timotheo Mzava (kushoto), akiongoza kikao na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake uliofanyika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii
Comments
Post a Comment