MAKAMU WA RAIS MTALAJIWA NDEJEMBI APIGIWA KURA NA WABUNGE 324

Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri, akitoa heshima kwa wabunge  baada ya kutambulishwa bungeni na spika, mpambe huyo alileta barua yenye jina la Makamu wa Rais Mteuliwa  kwa ajili ya kujadiliwa na kupigiwa kura na wabunge
Spika Mussa Azzan Zungu, akiwaonyesha wabunge barua toka kwa Rais Dkt. Sam,a Suluhu Hassan, yenye jina la Makamu wa Rais Mteuliwa
 Ndejembi akionyesha unyenyekevu alipokuwa akijadiliwa na wabunge huku kulia rafiki yake Waziri Mavunde, akipiga makofi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa hoja bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura Makamu wa Rais Mtalajiwa 
Mbunge wa Mlalo Rashidi Shangazi, akimwelezea Ndejembi

Wabunge 324 wamepiga kura za ndio kumthibitisha Makamu wa Rais Mteule Deogratius Ndejembi katika mchakato ambao umefanyika leo Bungeni jijini Dodoma.
Katika uchaguzi huo hakukuwa na kura za hapana wala kura zilizoharibika, hakika wabunge waliosema hilo ni chaguo la Mungu na anayefatia ni Rais Dkt .Samia Suiluhu Hassan, aliyewaletea jina lake wakiwa naye humu humu ndani ya bunge. Wengi walisema Rais alikuwa na uamuzi wa kutoa makamu nje ya bunge lakini mungu alimuongoza na kumchagua huyo kijana mnyenyekevu, mtiifu mchamunga asiyekuwa na mawaa.



Msukuma akimwelezea  Ndejembi
Keneth Nolo, naye akimwelezea 
Kingu akitoa sifa zake mteuliwa
Waziri Mkuu, akifurahishwa na michango ya wabunge na kumfanya apige makofi bila kuchoka
Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Detto Biteko, akimmiminia sifa mteuliwa huyo huku akishangiliwa na wabunge wenzake

 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johari, akisoma vifungu vya katiba kutoa ufafanuzi kwa maneno yanayozushwa mitaani kuhusu mteuliwa huyo.

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA