MAKAMU MWENYEKITI PAC AESHI HILALY AKIONGOZA KIKAO
Makamu Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Aeshi Khalfan Hilaly akifungua kikao na Watendaji wa Halmashauri ya mji wa Njombe katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo. Kamati za bunge zipo katika hatua za mwisho za vikao vyake kabla ya kuanza kwa mkutano wa bunge unaotalajiwa kuanza Jumatano wiki ijayo.Wajumbe wa Kamati hiyo wakipitia makablasha ya Halmashauri hiyo kwenye mtandao wa vishumbusi vyao
Viongozi wa Halmashauri hiyo wakisikiliza kwa makini ufunguzi huo
Viongozi wa Halmashauri hiyo wakisikiliza kwa makini ufunguzi huo
Comments
Post a Comment