KISWAGA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YAKE YA KUDUMU YA BUNGE, MAJI NA MAZINGIRA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Maji na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Karenga Jackson Kiswaga akiongoza kikao na kupokea na kujadili taarifa za Wizara ya Maji na Taasisi zake jijini Dodoma leo
Wajumbe wa Kamati hiyo wakiwajibika
Wakuu wa Taasisi za Wizara hiyo na Wakurugenzi wa Idara wakiwa kikao hapo
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga , Kulia kwake ni Naibu Wizara ya Maji Mhandisi Andrew Kundo na Katibu wa Wizara hiyo Mhandisi, Mwajuma Waziri

Comments
Post a Comment