CHUO KIKUU CHA MZUMBE CHATENGA BILIONI 4.5 KWA AJILI YA MAENDELEO YA NDAKI ZAKE
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, akizungumza leo na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO Mtumba jijini Dodom, kuhusu utendaji kazi wake jinsi kinavyotekeleza dira ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Proesa Mwegoha amebainisha kwamba malengo yake kiwe kitovu cha ubunifu ,maarifa na maendeleo, huku kikiandaa wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira na kuchangia maendeleo ya ujenzi wa Taifa. Msikilize zaidi mhagale online TVWanahabari wakimsikiliza kwa makini Makamu huyo alipokuwa akizungumza nao.
Comments
Post a Comment