RAIS DKT. SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA JIJINI DODOMA

Matukio mbalimbali katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Mashujaa, uliopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, tarehe 25 Julai, 2026.


Comments
Post a Comment