PROFESA MKENDA AZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DODOMA KUHUSU WANAFUNZI 150

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia. Profesa Aldof Mkenda, akiingia katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa Habari kuhusu wanafunzi 150 waliochanguliwa katika mpango wa masomo wa Samia Scholarship kwa mwaka wa masomo 2026 na 2027.Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dodoma leo .






Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma ofisini kwake  kuhusu wanafunzi 150 waliofanya vizuri zaidi katika mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2026 ambao watanufaika na mpango wa Samia Scholarship kwa mwaka wa masomo 2026/2027, ukiwahusisha wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi, hisabati na tiba.Vigezo na Sifa za Wanufaika Ufaulu wa Juu: Wanafunzi waliochaguliwa ni wahitimu waliopata alama za juu (marks) katika mitihani yao ya Kidato cha Sita kwenye tahasusi za sayansi kama vile PCM, PCB, CBG, PMG, CBA na PMC.Fani za Kipaumbele: Wanufaika wametakiwa kujiunga na shahada zinazohusu Hisabati, Sayansi, Uhandisi, TEHAMA, au Tiba. Waziri Mkenda alifafanua kwamba wanafunzi 100 watasoma katika vyuo vya hapa chini kwa ghalama za Samia na hao 50 watakwenda kusoma nje kwa ghalama ya Samia pia, alisema kama kutakuwa na mabadiliko ambayo mwanafunzi ,wenyewe atataka yafanyike au kwa kutopenda masomo hayo anauhuru kwa kuchagua akiondoka yeye anafidiwa aliyebakizwa katika mchujo huo.



Baadhi ya wakurugenzi wa vitengomkatika wizara hiyo wakimsikiliza Waziri

Mkuu wa Idara ya habari wa Wizara hiyo Oliva Gunze, akimkalibisha waziri kuzungumzana wanahabari














Mwanahabari Habel Chidawali wa Kampuni ya Mmwananchi Commnications Limited, akimuuliza swali waziri


 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA