AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, akizungumza leo na wanahabri kuhusu utoaji wa vibali vya ajira kwa mwaka wa fedha 2024 /2025 na 2025/2026. ambapo alisema Taasisi mbalimbali zinatakiwa kuajili wafanyakazi wapya, hebu iona taarifa kamili ya Katibu huyo @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@ TAARIFA YA UTOAJI WA VIBALI VYA AJIRA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25 NA MWAKA 2025/26 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katika kuhakikisha kuwa Wizara, Idara, Taasisi za Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa zinakuwa na watumishi wa kutosha kutekeleza majukumu yake, Serikali katika kipindi cha miaka miwili ambayo ni mwaka wa fedha 2024/25 na Mwaka 2025/26, iliidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nafasi 86,500 za Ajira Mpya. a) MWAKA WA FEDHA 2024/25 Ndugu Wanahabari; Serikali katika mwaka wa fedha 2024/25 ilitoa kibali cha nafasi 45,000 za ajira mpya kwa Taasisi mbalimbali na utekelezaji wake ulianza kuanzi...

































.jpeg)









Comments
Post a Comment