MSIGWA ATEMBELEA MACHINGA NA BENJAMINI MKAPA HOSPITALI DODOMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na mseamji Mkuu wa Serikali,Gerson Msigwa, akisani kitabu cha wageni baadanyan kuingiamofisi ya Meneja wa soko la Machinga jijini Dodoma kuanza kulitembelea na kuzunguza na baadhi ya wafanyabiashara . ziara hiyo ilihitimishwan katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, ambapo alizungumza na wanahabari na kusema Vijana wa Kitanzania wanatakiwakujituma na kuachana nawatu wabaya wanaoshinda kwenye mitandao kutukana nch na kuhamasisha maandamano, "Hii ni nchi huru inayojiamuria mambo yake yenyewe hatutaamriwa na mtu au taifa jingine tufuate wanavyotaka kazi nyingi za kufanya na serikali imeweka mpango wa kuwawezesha mnataka kingine nini tena,nilikuwa Ufaransa nimekuta viana wanalala mitaani hawanapakulala wanaishi maisha ya shida Tanzania yetu hii tuitunze na kuijali", amesema Msingwa
Msigwa akizungumza na mfanyabiashara wa soko hilo Grecy Joseph MussaMsigwa akizungumza na Mamalishe wa soko hilo Rahel Simon Machemba, huku akinywa supu aliyokuwa akiuza mamalishe huyoMamalishe na Babalishe wa soko hilo wakiwajibika kqma wanavyo onekana katika pichaMsigwa akisikiliza maoni ya wasusi katika soko hiloAkizungumza na wanahabari baada nya kukamilisha ziara katika soko hilo
Msigwa, akiwasili katika Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa ajili ya kutembelea
Akitoka kutembelea jengo linalojegwa kwa kutumika kwa matibabu ya Salatani katika Hospitali hiyo

Comments
Post a Comment