WANANCHI WAMIMINIKA BANDA LA BUNGE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Afisa wa Bunge Jeremia Wambura, akiwaeleza umuhimu wa Siwa wananchi waliotembelea banda la Bunge  katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma inayomalizika kesho. Wananchi mbalimbali walimiminika katika banda hilo kujionea mavazi yanayovaliwa na Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge, Aidha baadhi walipenda kufahamu ni nani anayetakiwa kutembelea bunge ambapo walijibiwa ni mwananchi yoyote yule  ilimladi aombe kulitembelea, waliweza kujionea majalida mbalimbali ya bunge  pia kujionea picha za maspika Naibu Spika Wenyeviti waliowahi waliongoza Bunge hilo Tangu mwanzo wa Uhuru hadi sasa.










Afisa wa Bunge Debora Sanja, akiwaeleza jambo  wananchi waliofika katiba banda hilo
Mavazi ya Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge
 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU