MATUKIO YA PICHA KATIKA CRDB BUNGE BONANZA SHUHUDIA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI JIJINI DODOMA

Washindi wa shindano la kukamata kuku wakionyesha baada ya kuwakamata na kuwazidi ujanja washindani wenzao



















Mbunge wa Monduli, Joseph Isack 'Mmasai' (AK .KADOGOO) WATATU TOKA KUSHOTO akishiriki shindano la kula wali maharage na kuibuka mshindi katika Bonanza la CRDB Bank Bunge lilioandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Juni 20, 2026' Katika Bonanza hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu aliye wakilishwa na Naibu wake, Daniel Sillo ilishirikisha pia michezo ya kufukuza kuku, kukimbia na gunia, kunywa soda, pete, wavu, soka, riadha, bao na draft.






 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU