DIWANI WA CCM ZUZU ADAIWA KUWALIZA WANACCM WENZAKE WAPAZA SAUTI KWA RAIS SAMIA AWASAIDIE
Katibu Uenezi wa Chama cha Maopinduzi Kata ya Zuzu jijini Dodoma ambaye pia ni mjasiliamali katika eneo la uchimbaji kokoto wa machimbo ya kokoto na mchanga mtaa wa Mazengo Zuzu, Noel Chalres, akizungumza na wanahabari leo katika eneo la machimbo hayo akiwa na wenzake zaidi ya wajasiliamali zaidi ya 200 waliokusanyika katika eneo hilo kutoa kilio chao kwa wanahabari hao wakida kiongozi wao waliyemwamini wakamfanyia kampeni za udiwani na kisha kupata leo hii ameamua kuwageuka na kuwafukuza katika eneo lao ambalo wanalimiliki zaidi ya miaka 10 sasa. Kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wa jiji la Dodoma wameamua kufikisha kilio chao kwa wanahabari na katika vikao vya chama wanasiku ya 8 sasa hawaingizi kipato chochote.
Happines Joseph Luswaga, aliyejitambulisha kuwa ni mzaliwa wa Zuzu amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwasaidi yeye akiwa mwanamke siyo rais tu naanahuruma na watu wake awasaidie kulejeshewa eneo lao ambalo kiongozi wao wa CCM Diwani wao waliyemfanyia kampeni usiku na mchana hadi kutangazwa mshindi kaamua kuwageuka na kuwanyanganya eneo lao na kulisajili kwa jila la ikundi kinachodaiwa kuwa anakimiliki yeye na baadhi ya wafanyakazi kuwachota katika eneo lao.
Salome Zawadi Lusinde, mkazi wa eneo hilo akiwa mjane anayelea watoto wanne, anapaza sauti yake iwafikie wale wote wenye mapenzi mema wasaidiwe eneo lao lisitwaliwe na wenye nguvu ambao wameamua kuwashindisha njaa leo siku ya nane machimbo yao yamefungwa kwa madai yanahatarisha maisha yao kityo ambacho ni uongo wanataka kuyatwaa wakiongozwa na diwani waliyemtaja kwa jina la Jenifa Malingo
Joshua William Kajembe, Mwenyekiti wa Mtaa wa Zuzu, akizungumza hapo na kuwaeleza wanahabari kwamba eneo hilo ni lawanakikundi hao kama wanavyosema wanalimiliki wao na wanalilipia kodi huyu mtu anayedaiwa kutaka kulitwaa hawamfahamu na wamekuwa wakiitisha vikao kwa ajili ya kusikiliza pande hizo mbili mara tatu sasa hatokei lakini wanamsikia akifanya harakati za kutaka kuwapokonya wananchi hao.
Mwenyekiti wa Zuzu, Omar Bilali Kasiba, anasema yeye aliepusha shari katika eneo hilo damu ingemwagika kama maandamano angeruhusu yafanyike kwenda ofisi kwa Diwani huyo ambaye ameonyesha anamajibu ya hovyo yeye mwenyewe alishawahi kumgombezwa hadi kufikia kutoamachozi, anamsubili kwenye vikao vya nidhamu vya chama hicho, yeye na wenzake ndio walioweza kufanya kuwa Diwani kwa kumgoambania lakini amekuwa mfitini ugomvi hauishi katika maeneo yao hadi wanachama kufikia kusema bora wabaki bila diwani aondoke huyu hawamtaki.
Kokoto zilizozuiliwa katika eneo hilo
Diwani huyo alipopigiwa simu aliweza kujibu kwamba yeye hanauwezo wa kuwapokonya eneo hilo ila anawatafutie eneo jingine na kuwataka waungane ili waweze kukopesheka , kauli ambayo ilipingwa na wananchi hao wakidai huo wema kwanini asiwafanyie wakiwa wanamiliki eneo hilo
Wajasiliamali hao, wakiwa katika eneo lao ambalo wanadaiwa kupokonywa na huyo diwani

Comments
Post a Comment