WAZIRI ULEGA APITISHIWA BAJETI YAKE AWAAHIDI KUJENGA BARABARA ZAO WALIZODAI HAZIPITIKI.
Waziri wa Ujenz,i Abdallah Ulega, akihitimisha bajeti ya wizara yake baada ya wabunge kuwaomba waipitishe kwa nguvu moja ili aende akajipange kuwapelekea barabara majimboni kwani, Ulenga akijibu kwa mbwe mbwe za kujiamini alisababisha mpaka Waziri Mkuu Dkt . Mwigulu kumpigia makofi akijibu maswali ya wabunge ambao baadhi walikuwa na jaziba ya kutaka kushika shilingi kwa majibu yake waliachia shilingi yake na kupitisha bajeti hiyo.
Wazirai Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba, na wabunge pamona na mawaziri wakimpongeza Ulega na naibu wake baada ya kupita bajeti hiyo
Amewaambia wakutane mwakani atakuwa ametimiza ahadi zake kwao amewaomba wabunge na wananchi wamuombee Rais Dkt . Samia Suluhun Hassan, mungu ammpe maisha marefu atimize ndoto zake za kuwaletea wananchi maisha mazuri na barabara nzuri na uchumi upae. Barabara zinapopitikia ndipo uchumi nao unapaa kwani wananchi itakuwa rahisi kuwafikishia mazao kila sehemu ya nchi mijini na vijijini.
Wazirai Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba, na wabunge pamona na mawaziri wakimpongeza Ulega na naibu wake baada ya kupita bajeti hiyo
Comments
Post a Comment