VIGOGO WA WIZARA YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI WAPO UKUMBINI TAYARI KWA BAJETI


Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhan disi Anthony Sanga (kulia), akisalimiana  na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamad Abdallah baada ya kukutana  katika ukumbi wa bunge wa Spika jijini Dodoma kwa ajili ya kusikiliza uwasilishwaji wa bajeti ya wizara hiyo leo utakaofanywa na  Waziri wa wizara hiyo


Katibu Mkuu MMjhandi Sanga, akisalimiana na aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara hioyo Angelina Mabula






 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU