BAJETI YA WIZARA YA ARDHI YAPITA LAKINI.......

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, akihitimisha bajeti ya wizara yake baada ya kujadiliwa kwa siku mbili na wabunge kisha kupitishwa kwa kauli moja ya ndiyoooo.  Pamoja na kupitishwa bajeti hiyo wabunge wengi waliochangia walionyesha kutolidhishwa na utendaji kazi wa maofisa ardhi majimboni kwao na baadhi yao kudiliki kusema wizara hiyo bora ifutwe kutokana na migogoro mingi kusababishwa na watendaji wa wizara hiyo. Wananchji wamefikia kuuana kwa kugombea ardhi iliyogawiwa mara mbili na watendaji hao . hata mabaraza ya Ardhi nayo yanachangia migogoro na kusaababisha wananchi kutoyaamini ndiyo maana viongozi wa kitaifa wanapotembelea mikoani hawaishi kupokelewa kwa  kunyayuliwa mabango.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Muya, akichangia hotuba ya Wizara hiyo na kujibu hoja za wabunge mbalimbali zilizotolewa kwenye bajeti hiyo


Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Silvery Luboja Salvatory, akichagia bajeti hiyo

Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathwe, akijibu maswali ya wabunge kipindi cha asubuhi
Mbunge Janeth Mahawanga, akichangia bajeti ya wizara ya Ardhi








Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Eleuteri Mangi (katikati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi mwenzake wa Shirika la Nyumba  Yahya Charahani baada ya bajeti ya wizara hiyo kupita na Kulia ni Mwanahabari mwandamizi wa Wizara hiyo  Munir Shemweta









 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU