KATIBU MTENDAJI MAMLAKA YA RUFANI YA ZABUNI ZA UMMA NCHINI NCHINI AZUNGUMZA NA WANAHABARI DODOMA
Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) nchini Tanzania ni James Sando, akizungumza na wanahabari leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dodoma , akielezea utendaji kazi wa Mamlaka yake. Aidha amebainisha kwamba
Wanahabari wakiwajibika katika mkutano huo
Mamlaka imefungua fursa kwa vijana 878 kwa kuwapatia mafunzo ya kuwajengea uwezo ili waweze kudai haki zao kwa ufanisi katika michakato ya ununuzi wa umma.
Amesema kuwa mafunzo hayo yametolewa katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa azma ya Serikali ya kuwawezesha vijana na makundi maalum kushiriki kikamilifu katika sekta ya ununuzi wa umma.
Wanahabari wakiwajibika katika mkutano huo
Comments
Post a Comment