WAZIRI MKUU MWIGULU AANZA KUJIBU MSWALI YA WABUNGE PAPO KWA PAPO
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya wafanyabishara nchi kutopandisha bidhaa zao katika Mfungo wa Mwezi mtukufu wa ramadhani na Mfungo wa Kwaresma akisema nchi hii haina uhabawa chakula, Mwigulu aliyasema hayo wakati akijibu maswali ya papo kwa papo yanayoulizwa na wabunge siku ya Alhamis, tabia hiyo iliyozoeleka tangu Uwaziri Mkuu wa Mizengo Pinda, ukalithiwa na Kassim Mjaliwa sasa Mwigulu. Aidha alibaisha kwamba Mamlaka ya Hali ya hewa nchini (TMA) pamoja na l
kutangaza kuwepo kwa upungufu wa mvua lakini nchi inajitosheleza kwa chakula. Mbunge wa Kwanza kuzindua pazia la maswali alikuwa Mbunge wa Ushetu Emmanuel Cherehani.
Spika Zungu, akiingia bungeni leo asubuhi
Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani, akimuuliza swali Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, kuhusu malalamiko ya wananchi kulipa fedha za kumuona daktari pindi wafikapo Hospitalini, Zahanati na hata hospitali za rufaa, wakati madaktari na watumishi wa Serikali wanalipwa fedha na Seikali.
Comments
Post a Comment