AZANIA BUNGE BONANZA KUFANYIKA WIKI HII JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo ya Bunge, Festo Sanga, akiangalia jezi zilizotolewa na Benki ya AZANI kwa ajili ya Azania Bunge Bonanza linalotalajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii jijini Dodoma . Hafla hiyo ilifanyika Ukumbi wa Msekwa jijini Dodoma leo. ambapo mashabiki wa Yanga na Simba walisindikiza hafla hiyo na kutambiana kufamya maajabu siku hiyo















 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?