WAZIRI KAPINGA AZINDUWA BODI YA WAKURUGENZI YA STAKABADHI GHALA (WRRB)

Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kampinga, akisoma Hotuba yake katika Hafla ya  Uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Usimamizi wa Stakabadhi  za Ghala uliofanyika jijiji Dodoma leo asubuhi, pamoja na mambo mengi aliitaka bodi hiyo kusimamiza wakulima wapate mapato mazuri katika kuuza  mazao yao pindi yanapouzwa, amewaambia wajumbe wa bodi hiyo ataipima kwa utendaji kazi bora wake na siyo kwa jina lake, kuwe na  vitendo vingi na siyo maneno mengi.






Viongozi wa dini wakiomba kabla ya uzinduzi wa bodi hiyo


Meza kuu wakisisima kwa dakika moja kuombeleza kifo  cha Mbunge Jenista Mhagama


Waziri Kapinga akibadilishana mawazo na  Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde
Katibu Mkuu  Wizara ya Viwanda na Biashara. Dkt. Hashil Twaib Abdallah, akaizungumza katika uzinduzi huo



Naibu Waziri wa Kilimo Devid Silinde, akizungumza
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala Prof. Geraldine Arbogast Rashel, akizungumza katika uzinduzi huo wa bodi
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala Prof. Geraldine Arbogast Rashel ,akimkabidhi kishikwambi Waziri Kapinga.










 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.