MCHANGO WA MWISHO BUNGENI WA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA NA PICHA ZA MATUKIO YA KUAGWA KWAKE LEO KANISANI DODOMA

Hii ndiyo picha ya mwisho ya marehemu Jenista Mhagama, akitoa mchango wake kuelezea  jinsi alivyomfahamu Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, baada ya kusomwa jina lake bungeni na spika Mussa Azan Zungu lilipowasilishwa na Mpambe wa Rais ndani ya ukumnbi wa bunge.

Spika mstaafu Anne Makinda ,akiwasili Kanisani kwa ajili ya ku,uaga Marehemu Jenista Mhagama

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela, akiwasili kanisani


Naibu Sdpika
Spika Zuingu



Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa akiwasili 
Wapigapicha kutoka vyombo mbalimbali wakiwajibika
Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Philip Mpango, akiwasili

Rais Mstaafdu Mzee wa Msoga Dkt. Jakaya Kikwete, akiwasili
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ,akiwasili

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda wakiwasili
Makamu wa Rais Dkt. John Nchimbi, akiwasili
Gari lenye mwili wa Marehemu Jenista likiwasili kanisani

Askari wa Bunge wakiingiza kanisani jeneza lenye mwili wa marehem,u Jenista
Jopo la  mapadri na wasaidizi wao  wakiingia kanisani tayari kuanza misa



Askari wa Bunge wakitoa mwili  kanisani na kuupeleka kwenye samamu ya Mama Bikira Maria , ambayo alifadhili ujenzi wake ambapo kila mara alipokuwa akisali hapo misa ya kwanza alikuwa lazima aende hapo  kwa ajili ya maombi










Wanakwaya wa kanisa hilo wakiimba

Mbunge wa Bagamoyo Subira Mgaru  (kushoto) naye alikuwpo

Watoto wake na wanafamilia wakishuhudia mwili ukiingizwa kwenye gari tayari kulejeshwa nyumbani kwake tayari kesho kwenda Songea kwa maziko
Hakika alikuwa mtu wa Mungu, baada ya mwili wake kuingizwa kwenye gari na kutoka eneo la kanisa mvua kubwa ya mawe ilishuka , mzee Yusuph Ali mkazi wa maeneo hayo alisikika akisema mama huyu alikuwa mtu wa mungu dalili zemeonyesha leo kulikuwa na jua na joto kali lakini mvua hii inaonyesha kiasi gani amepokelewa vyema huko aendako baada ya kumalizka misa yake.



 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.