MAMLAKA YA UDHIBITI WA UNUNUZI WA UMMA PPRA YAWAPIKA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA DODOMA



Meneja Mafunzo wa Mamlaka ya PPRA, Gilbert Kamnde, akiwafafanulia jambo wanndishi wa habari  katika semina  ya kuwajengea uwenzo wa  kuifahamu utendaji kazi wake   kama ilivyopitishwa na bunge  mwaka 2001 na kanuni zake GN namba 518 za mwaka2024 na matumizi ya mfumo wa   NeST Katika ununuzi wa  Umma.Wanahabari waliwez kufahamu kwamba Serikali inaweza kununua   bidhaa  3 tuu   zilizotumika kwa manufaa ya umma kama Ndege, Meri na  Treni  zingine zote zinatakiwa mpya                                                 

Wanahabari wakiwa makini katika mafunzo hayo

























 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.