KUNAVIONGOZI HAWAMWAMBII UKWELI RAIS DKT. SAMIA--------BUTIKU
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, akisisiti jambo katika kongamano la Wazee lililoandaliwa na Taasisi hiyo lililofanyika jijini Dodoma leo, huku likizungumzia Haki na Amani ya Tanzania kuelekea 9 Desemba 2025. Kongamano hilo lililoshirikisha wazee , Butiku aliuliza kwa mshangao chanzo cha ghasia ya 29-11-2025 moja wapo lilikuwa watu kupotea , viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kwanini walishindwa kumwambia ukweli Rais ukweli kwanini watu wanapote, mtu anashushwa kwenye gari na kwenda kuuliwa hapo kunatatitizo, Butiku alisema Rais hawezi kufanya kila kitu anamambo mengi ya kufanya amewakaimisha watu kufanya kazi kwa niaba yake , watu wanapotea mhusika upo tu haiwezekani hata kidogo.
Comments
Post a Comment