JMAT YAOMBA KUFANYIKA MAOMBI YA AMANI KITAIFA
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), imeomba yafanyike maombi ya kitaifa nchi nzima yatakayotanguliwa na mfungo wa siku tatu, maombi hayo yawe ya kina kwa watu wa Imani na madhehebu mbalimbali .
Hayo yote nikumuomba mungu msamaha na toba ya kweli na kumuomba mungu roho ya kutoa msaamaha tulipokosewaa na wenzetu.
Hayo yamejili leo wakati Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheikh Alhadi Mussa Salum, alipokuwa akizungumza na wanahabari jijini Dodoma Pamoja na viongozi wa dini mbalimbali .
Mwenyekiti huyo amebainisha kwamba Taifa limepitia katika kipindi kigumusana kutokana na kadhia ya Tarehe 29.10.2025 wakati wa Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania, kadhia hiyo ilisababisha hasara ya roho za watu Pamoja na uharifu wa miundombinu na mali za Serikali na watu binafsi.
Mwenyekiti huyo amesema baada ya kufuatilia Kamati yake imebaini kwamba mambo hayo yaliyotokea siku hizo yamesababisha na kuleta chuki na Athari kubwa ya kisaikolojia katika akili na mioyo ya watu.
Hivyo Taifa linahitaji uponyaji kwa kwa waathirika wote, upendo,udugu na mshikamanouliokuwepo hapoawali umetoweka kutokana na matukio ya siku hiyo.
Yaliyotokea siku hiyo hivi sasa yameanza kuleta hisia za udini na hivyo kuamsha hisia na mihemuko ya nkiimani na kidini jambo ambalo linatakiwa kushughulikiwa mapema kwani likiachiwe likomae linamadhara makubwa zaidi kwa Taifa..
Vijana ndio walikuwa wahusika wakubwa zaidi wa maandamano na vurugu hizo, kwani vijana wengi waliozaliwa na kukua katika kipindi cha Serikali ya awamu ya tatu hadi sasa tunu muhimu za amani kutoka kwa waasisi wa Taifa hili hawazijui sana .
Yafaa sasa vijana wapate elimu kwamba kwa asili Taifa hili linatatua changamoto kwa mazungumzo na maridhiano. Hivyo hivyo ndivyo uhuru ulipopatikaa bila kumwaga damu.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo walichangia wakidai nhivi sasa siyomwakatimwa kuonyosheana vidore,yaliyotokea yametokea sasa ni wakati wa kuyaponya, kuomba na kufunga taifa liludia amani yake kama mwanzo, “, tukizidi kulaumiananna kuonyeshana ubabe hatutafika mbali tuymuombe mungu na kuombana msamaha kwani sisisote ni waja wa mwenyezi mungu na tunu kubwa ya mwenyezi mungu ni uhai aliotupatia tujisahihishe na kumlejea yeye pale tulipomkosea”, alisema Sheikh mmoja.

Comments
Post a Comment