RAIS .DKT SAMIA SULUHU HASSAN ALIZINDUA JIJINI DODODMA LEO
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo jijiji Dodoma amelizindua bunge ambalo litafikia mwisho wake mwaka 2030, ametoa hotuba ya kihistoria yenye mwelekeo wa kuijenga nchi izidi kusonga mbela, Rais amesema hatakuwa na msalie mtume na wavivu na wasiotaka kutekeleza shida za wananchi.
Spika wa bunge akimuongoza Rais kuingia ukumbini kwa ajili ya kulizinduaWabunge wakimpokeaMakatibu mezani nao wakimpokea Rais
Spika wa bunge akimuongoza Rais kuingia ukumbini kwa ajili ya kulizinduaWabunge wakimpokeaMakatibu mezani nao wakimpokea Rais
Comments
Post a Comment