RAIS DKT. SAMIA KUTUNUKU KAMISHENI MAAFISA WANAFUNZI (JWTZ) MONDULI


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha kwa ajili ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kundi la 06/22 Shahada ya Sayansi ya Kijeshi, kundi la 72/24-Regular pamoja na mahafali ya sita ya Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Kijeshi kundi la 06/22 katika sherehe zilizofanyika chuoni hapo, tarehe 22 Novemba, 2025.  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, tarehe 22 Novemba, 2025.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride rasmi la kumaliza Mafunzo la Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, tarehe 22 Novemba, 2025.       

 Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa zawadi kwa Maafisa Wanafunzi waliofanya vizuri zaidi wakati wa Mafunzo kwenye sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 20.  Maafisa Wanafunzi wakivalishana vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025.

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.