PICHA ZA TUKIO KUTANGAZWA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali, Nyambura Mashauri, akishuka kwenye gari baada nya kuwasili viwanja vya bunge kwa ajili ya kuwasilisha jina  kwa Spika jina Teule la Waziri Mkuu






Akiapa kuwa mbunge

Mwigulu Nchemba, kwa mara ya mwisho akiwasili na wabunge wenzake wa Mkoa wa Singida wakiongozana baada ya hapo alitoka  ndani ya ukumbi wa bunge alishakuwa na ulinzi hapa mpaka masha yake yote ataambatana na ulinzi



Spika Zungu akisoma jina la Waziri Mkuu chini ya Katibu wa Bunge
Baada ya kusomwa jina wabunge walipagawa na kuanza kumshangilia
























Mpambe wa Rais akiondoka ukumbi wa Bunge






 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.