MBUNGE LUKUVI AONGOZA KIKAO CHA BUNGE KUMPATA SPIKA MPYA

Askari wa BUNGE, akimuongoza Mbunge wa jimbo la Ismani, William Lukuvi, kwenda kukalia kiti kuongoza uchaguzi wa Spika, uliokuwa na wagombea saba kutoka vyama vya siasa na hatimaye , aliyeibuka kidedea ni Mgombea wa CCM ,Iddi Azan Zungu kwa kuwabwaga wagobea wenzake kutoka vyama sita vya siasa

Lukuvi akiongoza Bunge
Wabunge  wakiwa bungeni
Mwanamuziki Diamondi, akishuhudia  kuapishwa kwa wabunge
Mgombea Zungu, akijibu maswali ya wabunge
Lukuvi, akiwaelekeza wabunge jinsi ya kupiga kura
Zungu akiapa baada ya kushinda
Mwenyekiti wa muda Lukuvi, akiagana na Zungu tayari kukalia kiti cha uspika baada ya ushindi
Spika Zungu, akiingia Bungeni tayari kuanza kikao cha kuapisha wabunge
Wabunge wakiimba wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kabla ya kauza kikao cha bunge
Brasbendi ya Jeshi la Polisi, wakiogoza wimbo wa Taifa na Ule wa Afrika Mashariki tayari kuaza  mwanz Vikao vya bunge kwa miaka mitano Spika Zungu, akiwasome baadhi ya vifungu vya kanuni  vya bunge 
Spika Mstaafu Dkt. Tulia Akson, akinyanyuka baada ya kupongezwa na Zungu kwa uongozi wake uliotukuka wakati akiliongoza buunge huku yeye akiwa Naibu spika
Dkt.Tulia akiapa
Dkt. Biteko akiapa
Mwenyekiti wa wa muda akiapa
 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.